United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Ndio maana nikwambia nyiny Ndio vibonde sababu mlikua waosha vyombo tu uku londonHizo takwimu zako ni za kiwaki, arsenal ana misimu mingapi ajashiriki UEFA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikwambia nyiny Ndio vibonde sababu mlikua waosha vyombo tu uku londonHizo takwimu zako ni za kiwaki, arsenal ana misimu mingapi ajashiriki UEFA?
Mdomo wako umetuponza Mkuu 🙆Mtapewa Bayern maana ndio mwamba wenu
atletico akiweka umakini kafika fainali, vs cityReal madrid vs Atletico Madrid 2016 final vibes can repeat
once again
mim sipo lakini ni moja kati ya timu Bigwa za UEFA wew mwezangu na Mim umezidiwa hata Na Astovilla kila msimu utakoshiriki kazi yako ni kuwasindikiza wengine tuMan U mmepewa nani? Ooh sorr
Cool✊✊✊✊!!walishindwa kubeba UEFA kina Henry wapo kwenye ubora leo kina Ben white Ndio wabebe Ndoo labda kama mtacheza na Brenteford
we want asec, pewa mamelodi
Uto. Bhana😃😃kila nikiangalia ile clip ya mwaisa ni kucheka tuuwe want asec, pewa mamelodi
Acha kutu letea uchuro basi 🤓😆Arsenal vs Bayern kama sio hao ni Barcelona 😃😃
Sawaa tutajitaid ila amka ndotoni🤣🤣Sitaki reply
View attachment 2935302
Waki tupa Barcelona, nusu fainali Ile🤓🤓Sitaki reply
View attachment 2935302
Me nipo zangu namtumbo huku najua kabisaa opponents wenu huwa wanafahamikaAcha kutu letea uchuro basi 🤓😆
Hutaki reply sababu unajua upo kwenye njozi za mchanaSitaki reply
View attachment 2935302
Sasa hizo takwimu zina uwiano kutokana na ushiriki ulivyokuwa? Huoni kama zina kasoro.Ndio maana nikwambia nyiny Ndio vibonde sababu mlikua waosha vyombo tu uku london
Mmeshapewa Bayern kaka be informedWaki tupa Barcelona, nusu fainali Ile🤓🤓
Mi niko zangu nanjilinjii 🤓Me nipo zangu namtumbo huku najua kabisaa opponents wenu huwa wanafahamika
La mama unajua boli.Arsenal hakuna timu ya kututisha sasa hivi, yeyote aje tu.
Kwenye ule Mgodi wako🤣🤣Mi niko zangu nanjilinjii 🤓