UEFA Champions League: Droo ya Robo & Nusu Fainal Ijumaa Saa 9:00 Alasiri

UEFA Champions League: Droo ya Robo & Nusu Fainal Ijumaa Saa 9:00 Alasiri

Hayo mashindano yamekosa msisimko kutokana na kutokuwepo kwa timu kama Chelsea na Man utd ktk hatua hizo
 
Kimbinu ni wazuri ila kwa arsenal wangekaa tu, bayern inapitia kipindi kigumu hasa nje ya UEFA ila bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwangu mimi naona kungekuwa na unafuu kwa atletico madrid.
Mimi nawataka Bayern kwasababu naamini hawa watatupa Arsenal nafasi ya kuucheza mpira wetu, hapatakuwa na fouls nyingi, game mbili zitakuwa tamu balaa...
 
walishindwa kubeba UEFA kina Henry wapo kwenye ubora leo kina Ben white Ndio wabebe Ndoo labda kama mtacheza na Brenteford
Hii Arsenal ya sasa hivi inacheza kitimu sana, haimtegemei individual kama enzi hizo za kina Henry, kwa maana hiyo hii Arsenal ya sasa ndio balaa zaidi, kama ikitokea wakabeba hiyo ndoo sitashangaa..
 
Hizi Hapa za UEFA Europa League

Quarter Finals


Milan
v
Roma


Liverpool
v
Atalanta


Leverkusen
v
West Ham


Benfica
v

Marseille

Semi-finals

Winner QF 4
v
Winner QF 2


Winner QF 1
v

Winner QF 3

Final

Winner Semi-final 1
v

Winner Semi-final 2

Quarter-finals
First legs: 11 April
Second legs: 18 April

Semi-finals
First legs: 2 May
Second legs: 9 May

Final
Wednesday 22 May, Dublin Arena
 
Back
Top Bottom