United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Wew nani amekwambia kipindi kile timu ndogo zilikua hazipati matokea Anifield na ETIHAD kuna kipindi ligi ya EPL ilikua Nguma kama kipindi cha Ferguson,wenger,Jose,Roy Hoodson wapo kwenye ubora wao 2017/2018 city kabeba ubigwa kwa point 100 kipind cha Ferguson,Benitez usingeshudia uwo upumbavu unatokea ata mara moja kijanaArsenal ya sasa inaupiga mwingi, huu ndio ukweli, hata suala la unbeaten kwa sasa usilete kwasababu ushindani ni mkubwa tofauti na miaka ile, leo hii hata timu ya mwisho kwenye msimamo inaweza pata magoli Anfield, Etihad au Emirates.