Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #141
Nategemea fainal ya Liverpool na Leverkusen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Experience haina uzito huo... huwezi kutana na wale watoto wa Arsenal wanakimbia muda wote halafu useme wewe utawafunga kwa experience wakati form yako mbovu, hili halipo.Bayern ni wazuri hata kama wanapitia kipindi kigumu. Kuna timu experience zinawabeba kwenye michuaono hii mikubwa mfano Real madrid.
Duh.!!.Final
Marseile vs Roma
Mkuu liverpool umemuua?🤣Final
Marseile vs Roma
Liverpool vs Leverkusen/WesthamNategemea fainal ya Liverpool na Leverkusen
Dah Arsenal afu Yanga,Simba then ArsenalArsenal hakuna timu ya kututisha sasa hivi, yeyote aje tu.
👏Arsenal hakuna timu ya kututisha sasa hivi, yeyote aje tu.
DuhhArsenal vs Bayern kama sio hao ni Barcelona [emoji2][emoji2]
UmetishaCity akikutana na Madrid kwenye raundi hii itapendeza sana
Hapa unazungumzia UEFA. Hauzungumzii ligi mkuu.Unaizungumzia Bayern ya miaka iliyopita, simply Bayern ya msimu huu sio wazuri hata wao wanajua hilo, na mpira sio historia.. mpira ni current form, kama utazungumzia current form Arsenal yuko juu ya Bayern, top of EPL, wakati Bayern kaachwa ten points na Beyer Leverkusen.
Heshima unayowapa Bayern ni kwasababu ya miaka ya nyuma, mfano pale walipotutoa mara mbili mfululizo tukiwa wabovu kabisa enzi za Wenger.
Arsenal kama Yanga tu
Umechana mkeka vibaya sana.Barcelona vs Arsenal
Manchester city vs PSG
Bayern Munich vs Atletico Madrid
Borussia vs Real Madrid
Hatoboi fainaliMkuu liverpool umemuua?🤣
masheikh kama nyiny mnahitajika muwe wengi muwape vijana somo la soka maana wengine huwa wanazani hichi ni kijiwe cha kahawa au kila mtu kaaza kutazama mpira wakati yupo chuoHapa unazungumzia UEFA. Hauzungumzii ligi mkuu.
Misimu miwili nyuma Liverpool,Psg , Manchester city, walikuwa kwenye ubora wa Hali juu lkn hawa wote walipigwa na Real Madrid aliyekuwa si tishio na akabeba ndoo.
Msimu 2021/2022 Manchester City kwenye alikuwa ubora wa Hali juu lkn alipigwa nje ndani na Chelsea kuanzia kwenye ligi, FA na
mpaka UEFA Chelsea akabeba ndoo.
Liverpool Kawa kwenye ubora wa Hali ya juu kwenye Misimu kadhaa iliyopita ya UEFA mpaka hatua ya kuingia fainali mara tatu lkn mara mbili nzima alipoteza mbele ya Real Madrid.
Vipi Psg aliyekuwa kwenye ubora wa Hali ya juu msimu wa 2020/2021 mbele Mbappe, Neymar na Hakim lkn akapoteza mbele ya Bayern ambayo haikuwa tishio.
Na bado mifano ipo mingi kwenye timu ambazo hazikuwa zinafanya vizuri katika ligi na mashindano mengine lkn katika UEFA walifanya maajabu.
Kwahiyo Arsenal anaweza akawa vizuri lkn Bayern Munich uzoefu ukawabeba na wakaishia kupigwa nje ndani kwenye hii robo fainali. Na kumbuka kocha ni Thomas Tuchel. Usimu underrate.
Hawalielewi hilo mkuu, umeelezea vyema kabisa.Hapa unazungumzia UEFA. Hauzungumzii ligi mkuu.
Misimu miwili nyuma Liverpool,Psg , Manchester city, walikuwa kwenye ubora wa Hali juu lkn hawa wote walipigwa na Real Madrid aliyekuwa si tishio na akabeba ndoo.
Msimu 2021/2022 Manchester City alikuwa ubora wa Hali juu lkn alipigwa nje ndani na Chelsea kuanzia kwenye ligi, FA na UEFA Chelsea akabeba ndoo.
Liverpool Kawa kwenye ubora wa hali ya juu kwenye Misimu kadhaa iliyopita ya UEFA mpaka hatua ya kuingia fainali mara tatu lkn mara mbili nzima alipoteza mbele ya Real Madrid. Ambapo mara ya mwisho Liverpool aliingia fainali na Madrid dhaifu kabisa.
Vipi Psg aliyekuwa kwenye ubora wa Hali ya juu msimu wa 2020/2021 mbele Mbappe, Neymar na Hakim lkn akapoteza mbele ya Bayern ambayo haikuwa tishio.
Na bado mifano ipo mingi kwenye timu ambazo hazikuwa zinafanya vizuri katika ligi na mashindano mengine lkn katika UEFA walifanya maajabu.
Kwahiyo Arsenal anaweza akawa vizuri lkn Bayern Munich uzoefu ukawabeba na wakaishia kupigwa nje ndani kwenye hii robo fainali. Na kumbuka kocha ni Thomas Tuchel. Usimu underrate.
Huyo hataki kazi we muache aendelee kuteseka 😂😁😁Kuna kazi kule kigezo ungenge Vincenzo Jr alikutag😃😃😃
Kwahiyo unategemea upepo sio form ya timu kwa wakati husika, unaponiambia timu inaweza kuwa na form mbovu nyumbani lakini UEFA wakafanya vizuri.Hapa unazungumzia UEFA. Hauzungumzii ligi mkuu.
Misimu miwili nyuma Liverpool,Psg , Manchester city, walikuwa kwenye ubora wa Hali juu lkn hawa wote walipigwa na Real Madrid aliyekuwa si tishio na akabeba ndoo.
Msimu 2021/2022 Manchester City alikuwa ubora wa Hali juu lkn alipigwa nje ndani na Chelsea kuanzia kwenye ligi, FA na UEFA Chelsea akabeba ndoo.
Liverpool Kawa kwenye ubora wa hali ya juu kwenye Misimu kadhaa iliyopita ya UEFA mpaka hatua ya kuingia fainali mara tatu lkn mara mbili nzima alipoteza mbele ya Real Madrid. Ambapo mara ya mwisho Liverpool aliingia fainali na Madrid dhaifu kabisa.
Vipi Psg aliyekuwa kwenye ubora wa Hali ya juu msimu wa 2020/2021 mbele Mbappe, Neymar na Hakim lkn akapoteza mbele ya Bayern ambayo haikuwa tishio.
Na bado mifano ipo mingi kwenye timu ambazo hazikuwa zinafanya vizuri katika ligi na mashindano mengine lkn katika UEFA walifanya maajabu.
Kwahiyo Arsenal anaweza akawa vizuri lkn Bayern Munich uzoefu ukawabeba na wakaishia kupigwa nje ndani kwenye hii robo fainali. Na kumbuka kocha ni Thomas Tuchel. Usimu underrate.
Anabeba hiiHatoboi fainali
Tungoje muda utaamuaAnabeba hii