UEFA Champions League: Droo ya Robo & Nusu Fainal Ijumaa Saa 9:00 Alasiri

UEFA Champions League: Droo ya Robo & Nusu Fainal Ijumaa Saa 9:00 Alasiri

20240315_161137.jpg
 
Away anashinda 1 bila au sare, nyumbani Madrid anapigwa kama ngoma kama alivyochakazwa msimu uliopita.

Naomba save hiyo comment yangu, mwezi ujao tukijaliwa uzima uje uangalie nani ataenda nusu fainali.
huyo man city wa sasa ambae anasumbuliwa na arsenal vipigo 2x Liverpool draw against injury men and young bloods

kama kuna kitu hukijui kuhusu madrid huwa hawapendi mazoea sana kwenye hili kombe nandio maana wanalo 14x

mechi za mwaka jana usizitumie ku predict mwaka huu city nae mbovu starting line ya hawana gundo... jack Grelish hana impact zaidi ya doku ambae ni premature... kdb ni injury prone..

back line yao its frightening error committee ake wakugawa mistaken pass and over age walker

attack kuna madogo ambao hawana consistency nzuri wana up and down unpredictable (foden & alverez)

lastly Halland the tap in merchant huyu ukiwa na strong defense anaweza cheza for 60+ minutes without a shot on targets

city's whole story depends only in peps tactics overall this year as they not the same anymore
 
Yaani unaifananisha Bayern ya Ribery Ruben,Lewandosk,Dogolas Costa na hii...... ambayo msimu huu tu Liverkunsen anaweza akachukua ubingwa mechi tano mkononi. Arsenal ashindwe mwenyewe,Bayern sasa hivi wanajitafuta wanajenga timu.
Sijaifananisha na ile ila sio mbovu kiasi hicho ya mechi kuwa rahisi kwa arsenal.
 
Hujui mpira wewe
We unaejua mpira nipe matokeo sahihi ya azam vs Yanga.

Unajua prediction ni nini?
Sio lazima nilichokisema kiwe, vipi huyo liverpool asipofika fainali itakuaje?
Hakuna yeyote anaejua uhalisia wa matokeo, tunafanya prediction tu kuwa itakuwa hivi au vile ikitokea ni sahihi au sio sahihi ni sawa pia.

Uje na matokeo ya hiyo mechi ya leo kama unaujua mpira vizuri alafu tukutane baada ya mechi kuisha.
 
Tunaweza kusema mvua itanyesha kwa kuangalia wingu, sasa kwa njia aliyopewa liver kuto kucheza fainali ndio itakuwa ajabu, sisemi 100% kuwa liver anacheza fainali but ana % kubwa ya kucheza fainali kwa upande aliowekwa ukilinganisha na wenzie
 
Historia haichezi mpira . Ile Form ya man city ya mwaka jana. Hata wangecheza na madrid Mara 10. Man city angeshinda mechi nane. Form ndo kila kitu. Historia inacheza Fainali tu ya mechi moja
 
Back
Top Bottom