JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hili suala la Yaya Toure Wadau wa Soka wanalizungumzia sana.Laana ya Yahya Toure itaendelea kumtafuna Pep hadi atakapoomba msamaha kwa waafrica weusi kwa ubaguzi zidi yao,hatachukua Uefa tena.
Yaani pep aombe msamaha kwa waafrica ili achukue uefa ,?Laana ya Yahya Toure itaendelea kumtafuna Pep hadi atakapoomba msamaha kwa waafrica weusi kwa ubaguzi zidi yao,hatachukua Uefa tena.
Kama hatoomba mtaendelea kugongwa kwenye UEFA MPAKA AKILI ZIWAKAE SAWAYaani pep aombe msamaha kwa waafrica ili achukue uefa ,?
Hawezi fanya huo ujinga mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pep alijua ameshamaliza game ilipofika dakika za mwisho akawatoa wachezaji wake muhimuView attachment 2211897
View attachment 2211895
Real Madrid imefanya maajabu, ni baada ya kupindua matokeo dakika za mwisho na kufanikiwa kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa Manchester City kwa jumla ya mabao 6-5.
Hadi dakika ya 90 Madrid ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 katika nusu fainali ya pili, dakika ya 90 na 91 ilipata mabao mawili kupitia kwa Rodrygo na kufanya matokeo ya jumla kuwa 5-5. Katika dakika 30 za nyongeza, Kareem Benzema akafunga bao na kufanya matokeo kuwa 3-1.
Fainali inatarajiwa kuchezwa Mei 28, 2022. Real Madrid ambayo imebeba kombe hilo mara 13 itaivaa Liverpool ambayo imebeba kombe mara 6.
Mkuu yani no very heart breaking. Mahrez alivofunga tu nikaenda kulala nikajua mchezo kwisha. Mimi siyo shabik wa city ila imeniuma sana. Natamani sana City na PSG wabebe UCL kwa mara ya kwanza. City ingependeza wacheze na liver fainali wabebe kombe na msimu ujao PSg.Tatizo la Guardiola kila siku hajifunzi haeshimu wapinzani yeye kila mechi anafunguka tu ndo maana watu wanampasua tu kirahisi anajua ana Barcelona ya kina iniesta na xavi.
Mbona unaingiza mambo ya race tena?Pep alijua ameshamaliza game ilipofika dakika za mwisho akawatoa wachezaji wake muhimu
Kelvin De Bruyne , Riyadh Mahrez,
Weeeh kilichofuata hajaamini,
Nimependa fighting spirity ya Real, hasa ikiwa na vijana weengi, na kinachofurahisha zaid
Blacks wame dominate team
Ubaguz was rangi kauamishia kwa Sterling, Dogo kapotezwa mno na benchiYaani pep aombe msamaha kwa waafrica ili achukue uefa ,?
Hawezi fanya huo ujinga mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bora hata wewe ulienda kulala baada ya Mahrez kufunga, mimi nilizima Tv kwa hasira dakika ya 89 ila nimeamka leo siamini macho yangu.Mzuka wanajamvi,
Nilitoka kazini nimechoka kichiz ila mechi ya real na city nilipanga kuangalia. Mahrez alipofunga nikajua wazi citywanaendqa fainali. Nikaamua kulala. Sasa mda siyo mrefu nimeamka nikaamua kuangalia iliishaje. Sijawahi kushikwana mshtuko kama huu wanajamvi wenzangu. Kweli mpira dah Madrid maamae Jiiizaz
Erythrocyte makaveli10 Chaliifrancisco
Nakazia hata Samuel Eto'o pia, kuna kipindi kabla ya Messi kuanza kung'aa pale Camp Nou, ikiwa Pep alitoka kuichukua Barcelona chini ya Kocha Rijkaard, alimbagua sana Eto'o kwa kumuweka benchi mara kwa mara asiendelee kucheza mpira maana kuna rekodi nzuri sana ya mchezaji bora wa Barcelona ilikuwa inaenda kuvunjwa na Samuel Eto'o.Laana ya Yahya Toure itaendelea kumtafuna Pep hadi atakapoomba msamaha kwa waafrica weusi kwa ubaguzi zidi yao,hatachukua Uefa tena.
Aggregate ikiwa 3-5 nikawaambia wadau,"kwa Anceloti hii mechi bado mbichi" watu wakaniona "zuzu" kidogo tu 4-5,washabiki wa City wakaduwaa,hatujakaa sawa 5-5,mara penati 6-5.View attachment 2211897