JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hadi dakika ya 90 Madrid ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 katika nusu fainali ya pili, dakika ya 90 na 91 ilipata mabao mawili kupitia kwa Rodrygo na kufanya matokeo ya jumla kuwa 5-5. Katika dakika 30 za nyongeza, Kareem Benzema akafunga bao na kufanya matokeo kuwa 3-1.
Fainali inatarajiwa kuchezwa Mei 28, 2022. Real Madrid ambayo imebeba kombe hilo mara 13 itaivaa Liverpool ambayo imebeba kombe mara 6.