UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Kama bado unapima ubora wa timu kwa kuangalia FIFA rankings bado una safari ndefu ya kuujua mpira katika uhalisia wake.

FIFA rankings ndio nini kwanza? Ile si ni nafasi tu kwenye mpangilio ambapo timu moja inakaa juu ya nyenzie baada ya kupata points nyingi kutoka na mechi ilizoshinda zikiwemo za kirafiki.

FIFA rankings kile si kiini macho tu ambacho hakikupi uhalisia wowote kwenye suala la ubora wa timu.... ukitaka kuamini kile kweli kiini macho angalia BELGIUM hao hapo wamekaa nafasi ya kwanza kwenye FIFA rankings kwa zaidi ya miaka 5 lakini hajawahi kuchukua kombe lolote lile kwenye hiyo miaka 5 wakati huo Italy ambeye alicheza mechi 35 bila kufungwa huku akichukua na ubingwa wa EURO hakuwahi kukaa nafasi ya kwanza kwenye hizo FIFA rankings.

Sasa hivi ukingalia upande wa vilabu National Al Ahly ya misri inashika nafasi ya nne nyuma Real madrid,Manchester City na Intermilan kwenye FIFA rankings wakati huo ikiwa juu ya vilabu kama Bayern Munich na PSG ambazo zinashika nafasi ya 5 na 6 respectively.... sasa je, wewe kweli una amini hiyo Al Ahly ni bora kuliko Bayern Munich na PSG?

Kwa hiyo kumbe uko hapa unakataa hoja yangu kwa kuona kwamba hiki kizazi cha sasa si bora kulinganisha na kile cha 2014 kilichoenda Brazil kushindiliwa magoli na kuishia hatua ya makundi eti kwa sababu tu kile kilishika nafasi ya tutu kwenye rank za FIFA???

Kama hivi ndivyo unavyouangalia mpira hebu tuishie hapa kweye huu mjadala.
 
Upande wa pili, Copa AmericaView attachment 3021737
Kuna watu wakiona hizo three stars hapo wanaumia mpaka chini ya Moyo.

Anyway Argentina usiku wa kuamkia kesho anaanza safari ya kuchukua taji la 16 la copa America na taji la nne la Messi akiwa na timu yake ya Taifa.

Hii mechi ntaifuatilia bumper to bumper kwanzia opening ceremony
 
Yyte anayejua link I ayoonyesha live atuambie manake wengine tupo safarini tunaelekea Madaba Songea
Mzee hebu tumia hii hakuna mechi ambayo unahiitaji ukaikosa hapa labda mechi za ligi yenu ya bongo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…