UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

IMG_1953.jpeg
 
Lile sio goli sasa pale kipa angerukaje wakati ule upande aliosimama mchezaji aliyekuwa offside ndo upande ambao kipa alitakiwa aruke ili asave mpira,

Ivi shida ni kutojua sheria za mpira au watu mnafikiri wale ni marefa wa kombe la muungano ? Kiuhalisia lile sio goli.
Mbona hakuruka angeruka ampamie jamaa ndio tungejua vizuri yeye aliganda tuu
 
Mkuu hiyo link inakula bando ni kisanga 🙌🙌..mechi moja nimemaliza 1.4gb mmk
Ndiyo hivyo mzee maana inakupa full HD, Yaani sura ya mchezaji unaiona kama ilivyo na ndio maana inatafuna bando bila huruma kama ccm wanavyoitafuna nchi vile.
 
Back
Top Bottom