Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Ile kambaKazibwaje angeruka kwanza tuone kama atahfikia mpira
VAR imekuja kuharibu ladha ya sokaMuite Mfaransa wa Mburahati Greatest Of All Time awatetee ndugu zake.
Uholanzi wamefanyiwa day light robberyWandengereko wa ulaya leo wamebebwa kwa kweli
Ndio yeyeSio rupia
KabisaaaUholanzi wamefanyiwa day light robbery
Griezmann alipata chance nyingi Ila aloshindwa kuzitumiaUrafansa walikuwa wazembe kwenye umaliziaji leo, wamepata chances ila wameshindwa kuzitumia vizuri
Mbona hakuruka angeruka ampamie jamaa ndio tungejua vizuri yeye aliganda tuuLile sio goli sasa pale kipa angerukaje wakati ule upande aliosimama mchezaji aliyekuwa offside ndo upande ambao kipa alitakiwa aruke ili asave mpira,
Ivi shida ni kutojua sheria za mpira au watu mnafikiri wale ni marefa wa kombe la muungano ? Kiuhalisia lile sio goli.
Aliogopa kuumia π ila naamini pale ingekuwa ni klabu yake angekuw radhi hat kujitoa tu lolote na liwe, Timu za taifa watu wanacheza kimachale sana.Mbona hakuruka angeruka ampamie jamaa ndio tungejua vizuri yeye aliganda tuu
Wanamtegemea sana Mbape kama striker waoUfaransa inatia mashaka sana huenda nayo isifike mbali kwenye hii tournament
It is an honor to play for ur national team but remember it is ur club that pays ur salary. So ata ingekuwa wewe ungefanya hivyo hivyoAliogopa kuumia π ila naamini pale ingekuwa ni klabu yake angekuw radhi hat kujitoa tu lolote na liwe, Timu za taifa watu wanacheza kimachale sana.
Ndiyo hivyo mzee maana inakupa full HD, Yaani sura ya mchezaji unaiona kama ilivyo na ndio maana inatafuna bando bila huruma kama ccm wanavyoitafuna nchi vile.Mkuu hiyo link inakula bando ni kisanga ππ..mechi moja nimemaliza 1.4gb mmk