Holland ni nchi jirani na Germany kma ilivyo Kenya na bongoland.Wadachi wamejaa uwanjani aisee
Fainal ni Spain Vs Germany tuu kama hawatakutana hizi stages nyingineFainali zinaweza ingia Spain na Ujerumani au Ureno na Ujerumani...kwa mtazamo wangu
Bingwa ni Ujerumani mkuu,..Spain bingwa trust me!
Hadi sasa, Germany na Spain na Austria ndio wako serious.Bingwa ni Ujerumani mkuu,..
Hapo chapu tu wamedaka traini mchongoko.Holland ni nchi jirani na Germany kma ilivyo Kenya na bongoland.
Na kuna wadachi wengi sana wanaishi ujerumani na ndio maana baada ya ujerumani timu inayongoza kwa kuwa na mashabiki wengi kuingia uwanjani ni Netherland.
Ni ubutu wa forward line ya France ndio umefanya uone Hilo.Defence ya Uholanzi imecheza kwa nidhamu ya hali ya juu sana
Kipa golini yupo kulinda lango sio kurukaruka bila sababu.Mbona hakuruka angeruka ampamie jamaa ndio tungejua vizuri yeye aliganda tuu
Nakubali..nilicho ipendea hakuna mechi utakosa hata under 17 kila nchi ni bando lako tu😂,ukiwa na smart tv huna haja ya dstvNdiyo hivyo mzee maana inakupa full HD, Yaani sura ya mchezaji unaiona kama ilivyo na ndio maana inatafuna bando bila huruma kama ccm wanavyoitafuna nchi vile.
Yeah bora haea waarabu nikiwa na mb 700 natoboa mechi nzimaYalla shoot live -> Kora live
mchukue na hiyo ndondo cup ya americaNetherland wamenyimwa goli la halali, ila kwa Argentina waligonga mwamba, tuliwafumua na mbappe wao
Haya bana ila wandengereko wamebebwaKipa golini yupo kulinda lango sio kurukaruka bila sababu.
Vipi Kama angeruka na ule Mpira ukauguswa na yule jamaa aliekua offside harafu ukapita pale alipokua kasimama mwanzo?.
Lile tendo lilikua la haraka usidanganywe na slow motions
Asingeweza kuruka Kwa sababu hakua na uhakika Kama ule Mpira utapitia Kwa Yule jamaa au laah na huo uhakika kanyimwa na mtu alie offside kwahyo hakuna goli la vile.
mpira wa miaka hii mifumo ya timu haijengwi kuzunguka mchezaji mmoja mmoja kama miaka ya nyuma miaka hii timu zinajengwa kwa mifumo ya kuzunguka wachezaji woteSijui ni mimi au la, naona timu nyingi EURO 24 haijachangamka kama ilivyo miaka ya nyuma, imekosa mvuto fulani hivi
Sio uongo mkuu, ni wewe tu ndo unaona hivyo.Sijui ni mimi au la, naona timu nyingi EURO 24 haijachangamka kama ilivyo miaka ya nyuma, imekosa mvuto fulani hivi
wewe unashabikia timu gani pale?Sijui ni mimi au la, naona timu nyingi EURO 24 haijachangamka kama ilivyo miaka ya nyuma, imekosa mvuto fulani hivi