UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Holland ni nchi jirani na Germany kma ilivyo Kenya na bongoland.

Na kuna wadachi wengi sana wanaishi ujerumani na ndio maana baada ya ujerumani timu inayongoza kwa kuwa na mashabiki wengi kuingia uwanjani ni Netherland.
Hapo chapu tu wamedaka traini mchongoko.
 
Mbona hakuruka angeruka ampamie jamaa ndio tungejua vizuri yeye aliganda tuu
Kipa golini yupo kulinda lango sio kurukaruka bila sababu.

Vipi Kama angeruka na ule Mpira ukauguswa na yule jamaa aliekua offside harafu ukapita pale alipokua kasimama mwanzo?.

Lile tendo lilikua la haraka usidanganywe na slow motions
Asingeweza kuruka Kwa sababu hakua na uhakika Kama ule Mpira utapitia Kwa Yule jamaa au laah na huo uhakika kanyimwa na mtu alie offside kwahyo hakuna goli la vile.
 
Ndiyo hivyo mzee maana inakupa full HD, Yaani sura ya mchezaji unaiona kama ilivyo na ndio maana inatafuna bando bila huruma kama ccm wanavyoitafuna nchi vile.
Nakubali..nilicho ipendea hakuna mechi utakosa hata under 17 kila nchi ni bando lako tu😂,ukiwa na smart tv huna haja ya dstv
 
Kipa golini yupo kulinda lango sio kurukaruka bila sababu.

Vipi Kama angeruka na ule Mpira ukauguswa na yule jamaa aliekua offside harafu ukapita pale alipokua kasimama mwanzo?.

Lile tendo lilikua la haraka usidanganywe na slow motions
Asingeweza kuruka Kwa sababu hakua na uhakika Kama ule Mpira utapitia Kwa Yule jamaa au laah na huo uhakika kanyimwa na mtu alie offside kwahyo hakuna goli la vile.
Haya bana ila wandengereko wamebebwa
 
Back
Top Bottom