UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Nakubali..nilicho ipendea hakuna mechi utakosa hata under 17 kila nchi ni bando lako tu😂,ukiwa na smart tv huna haja ya dstv
Swadakta mkuu, hapo kikubwa bundle tu ila kitu unakipata clear kabisa tena bila usumbufu wa ads.

Sasa kuna hii hapa App yaani ukiwa na hii hauna tofauti na mtu aliyefunga dish la Dstv nyumbani kwake.. maana maana channels nyingi unazozipata dstv hata humu zimo, kikubwa uwe na hela ya kununua bundle la maana tu.
 
Mkuu upo vyede unajua vitu vingi kwenye smartphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…