mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 2,266
- 4,057
Ni amshaamsha mwanzo mwishoMashabiki wa Ulaya hawakai kwenye seat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni amshaamsha mwanzo mwishoMashabiki wa Ulaya hawakai kwenye seat
Belgium wanatakiwa kushinda hii mechi kwa namna yoyoteEndapo Belgium atashinda basi kila mmoja kwenye kundi hili atakuwa na point 3.
Kila mmoja akipoteza mchezo mmoja na kushinda mmoja..
Mechi za mwisho zitaamua nani na nani watasonga. Endapo wakadroo basi kuna uwezekano mkubwa wa wengine walipbaki kupita kama best losers.
Moja ya group gumu sanaEndapo Belgium atashinda basi kila mmoja kwenye kundi hili atakuwa na point 3.
Kila mmoja akipoteza mchezo mmoja na kushinda mmoja..
Mechi za mwisho zitaamua nani na nani watasonga. Endapo wakadroo basi kuna uwezekano mkubwa wa wengine walipbaki kupita kama best losers.
Hawa ni mashabiki vichaa. Mashabiki wapenda mpira kweli kweli katika nchi zao. Ni machizi soka.Mashabiki wa Ulaya hawakai kwenye seat
Kabisa maana sio kwa kichwa kile alichopiga baada ya krosi ya b silva 😄 mpira kaurudisha ndani duhPunde tu baada ya Euro kuisha, Ronaldo anapaswa kustaafu timu ya taifa.
Kumbe mtoto wa ancelotti...aise dogo anajua...kweli ukicheza na wachezaji wazuri ata wewe unawaka.Dogo anaubonda vibaya mno..mechi nne za mwisho real madrid zote kaweka afu yeye anamuweka nje kweli.
Sio sie mechi kubwa ya caf champions league eti watu wanaingia bure....ujinga mtupuHawa ni mashabiki vichaa. Mashabiki wapenda mpira kweli kweli katika nchi zao. Ni machizi soka.
Mashabiki wa nchi mbalimbali unaowaona Germany ni cream ya mashabiki halisi katika nchi zao. Ndiyo maana wana vibe balaa.
Timu gani hiyo jameni 🤣🤣🤣🤣
Hakuna.Vp jama huko Kuna uwezekano wa Gg
Mr Mazabzab unaonekan upo vizuri kwenye ukocha...ni wakati sahihi sasa tukupe Kichwa cha mwendawazimu uivushe(Tanzania) 🤣Alafu moja ya interesting things ya haya mashindano...timu zote wakiwa wanajilinda kwenye kona hawaweki mtu kwenye goalline...interesting to see zonal marking inatawala....wenzetu wanatoka from man to man marking
Sisi huku? Tujiite mashabiki au?Hawa ni mashabiki vichaa. Mashabiki wapenda mpira kweli kweli katika nchi zao. Ni machizi soka.
Mashabiki wa nchi mbalimbali unaowaona Germany ni cream ya mashabiki halisi katika nchi zao. Ndiyo maana wana vibe balaa.