Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
- #2,501
Naona uukizidi hata pumzi ni offside.
Upuuzi.
Upuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagie ni goal la kusawazisha dakika ya 88 Taifa, Simba na Yanga afu unaleta izo Story.Naona uukizidi hata pumzi ni offside.
Upuuzi.
Carrasco in.Tielemans na Doku nje. Sidhani kama ni best move.
Hamna kitu mtafanya. Narudia HAKUNA KITU mtafanya.Imagie ni goal la kusawazisha dakika ya 88 Taifa, Simba na Yanga afu unaleta izo Story.
Ngoja tuoneHamna kitu mtafanya. Narudia HAKUNA KITU mtafanya.
Wabongo kelele mingi mdomoni tu.
HahahahahaTupo mkuu
Huwa navi hurumia vita🤣Narudia kusema, VAR ikija Taifa tunauana.i
🤣🤣🤣🤣 Asante kaka nafuatilia kwa makini hapa haya mashindano nione jamaa wanatazidigi wapi uwanjani.Mr Mazabzab unaonekan upo vizuri kwenye ukocha...ni wakati sahihi sasa tukupe Kichwa cha mwendawazimu uivushe(Tanzania) 🤣
Huyu nae mpaka commentator kaamua aseme ukweli yaani yeye anafanya maamuzi vice versa...pakuliga hapigi pakutoa pasi yeye anapigaTrosaaaaaaaaad