UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Mr Mazabzab unaonekan upo vizuri kwenye ukocha...ni wakati sahihi sasa tukupe Kichwa cha mwendawazimu uivushe(Tanzania) 🤣
🤣🤣🤣🤣 Asante kaka nafuatilia kwa makini hapa haya mashindano nione jamaa wanatazidigi wapi uwanjani.
Ila hapa mbungi imepigwa aisee hatari.

Kwa hii defense ya belgium wakikutana na wamalizaji wazuri watalia....romania walikuwa wanapata ata kagoli kamoja
 
Back
Top Bottom