UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Endapo Belgium atashinda basi kila mmoja kwenye kundi hili atakuwa na point 3.

Kila mmoja akipoteza mchezo mmoja na kushinda mmoja..

Mechi za mwisho zitaamua nani na nani watasonga. Endapo wakadroo basi kuna uwezekano mkubwa wa wengine walipbaki kupita kama best losers.
Belgium wanatakiwa kushinda hii mechi kwa namna yoyote
 
Endapo Belgium atashinda basi kila mmoja kwenye kundi hili atakuwa na point 3.

Kila mmoja akipoteza mchezo mmoja na kushinda mmoja..

Mechi za mwisho zitaamua nani na nani watasonga. Endapo wakadroo basi kuna uwezekano mkubwa wa wengine walipbaki kupita kama best losers.
Moja ya group gumu sana
 
Alafu moja ya interesting things ya haya mashindano...timu zote wakiwa wanajilinda kwenye kona hawaweki mtu kwenye goalline...interesting to see zonal marking inatawala....wenzetu wanatoka from man to man marking
 
Mr Mazabzab unaonekan upo vizuri kwenye ukocha...ni wakati sahihi sasa tukupe Kichwa cha mwendawazimu uivushe(Tanzania) 🤣
 
Back
Top Bottom