UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Hawa ni mashabiki vichaa. Mashabiki wapenda mpira kweli kweli katika nchi zao. Ni machizi soka.

Mashabiki wa nchi mbalimbali unaowaona Germany ni cream ya mashabiki halisi katika nchi zao. Ndiyo maana wana vibe balaa.
Unaambiwa wale Georgia baada ya taifa lao kufuzu hii michuano kwa mara ya kwanza, kila mtu alianza kufanya saving hili michuano ikifika awe na hela ya kumfanya asafiri kwenda ujerumani kuisapoti timu yao.

Hao wenzetu wanaupenda mpira na wanazipenda timu zao za taifa.
 
Lukaku anaubonda ila hana nyota ya kupendwa tu
Lukaku huwa ni mfano sahihi wa kauli ya "msuli tembo halafu matokeo sungura" au "unalima heka nzima halafu mavuno kisado"

Lukaku huwa anakimbia sana, anaangaika sana, anatumia nguvu nyingi sana uwanjani lakini mwisho wa siku delivery yake ni afifu...

Angalia jasho analovuja haliendani kabisa na work outputs anayoitoa na wala hii haihusiani na nyota.
 
Hamna kitu mtafanya. Narudia HAKUNA KITU mtafanya.

Wabongo kelele mingi mdomoni tu.
Kuikataa VAR kwa mpira ulipofikia sasa hivi ni kuendelea kubaki nyuma na kujikwamisha kimaendeleo ya kimpira.

Wachezaji wetu wakienda kwenye michuano mikubwa ambapo kuna matumizi ya VAR huwa wanatia aibu tu kwa matukio wanayoyafanya na yote hiyo ni kwa sababu wameshazoea soka letu la kienyeji kienyeji lenye waamuzi wa ovyo ovyo.
 
Kabisa Belgium ni wabovu mno hawa makundi wanaweza kuvuka ila robo fainali ndo mwisho wao, tatizo naliona lipo kwa kocha zaidi maana Belgium wanacheza mpira kama wa miaka ya 70's
 

Sasa ndio umlinganishe na kdn, kibu d, chama amekuwa churaaa🥱
 
Mkuu namba hazidanganyi na uzuri mimi nafuatilia mpira karibia ligi zote kubwa ulaya. Angalia magoli na assist aliyohusika kwenye timu alizocheza katika misimu 12 mfululizo anakupa double figure za magoli, utasemaje output yake ni zero?. Mnyonge mnyongeni haki yake mpatie, huyu Lukaku hana nyota ya kupendwa
 

Attachments

  • Screenshot_20240623_065304_BeSoccer.jpg
    265.4 KB · Views: 2
Ndondo cup ya euro....copa America hakuna Georgia, Hungary, slovekia/nia n.k. Argentina angeshiriki ulaya unadhani nani angemuweza!! Angelikua anachukua ubingwa kila msimu.
German, France, Italy huwaoni et vinchi vingi america havipo ktk Raman ya mpira,ie vinapambana na madawa huku majanga kama moto, barafu yakitamalaki
 
German, France, Italy huwaoni et vinchi vingi america havipo ktk Raman ya mpira,ie vinapambana na madawa huku majanga kama moto, barafu yakitamalaki

Argentina katoka kuchukua kombe la dunia dhidi ya ufaransa wenu, na akaenda kucheza kombe la mabara/finallisima dhidi ya italy akamdunda goli 3-0 akabeba, akaingia final na brazil copa amerika akamdunda tena nyumbani kwao 😆 na akaondoka na ndoo, chezea weweee

Argentina 🏆france❌
Argentina 🏆italy ❌
Argentina 🏆brazil❌

Timu ipi itaweza kupambana nae!
 
Naomba link ya kucheki michezo ya Basketball
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…