Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kama yupo slow hivi kujiongezaHuyu nae mpaka commentator kaamua aseme ukweli yaani yeye anafanya maamuzi vice versa...pakuliga hapigi pakutoa pasi yeye anapiga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yupo slow hivi kujiongezaHuyu nae mpaka commentator kaamua aseme ukweli yaani yeye anafanya maamuzi vice versa...pakuliga hapigi pakutoa pasi yeye anapiga
Wapo vizuri ata mie natamani wapite...ila watumie nafasi wanazopataKwenye ili kundi Romania watapita
Unaambiwa wale Georgia baada ya taifa lao kufuzu hii michuano kwa mara ya kwanza, kila mtu alianza kufanya saving hili michuano ikifika awe na hela ya kumfanya asafiri kwenda ujerumani kuisapoti timu yao.Hawa ni mashabiki vichaa. Mashabiki wapenda mpira kweli kweli katika nchi zao. Ni machizi soka.
Mashabiki wa nchi mbalimbali unaowaona Germany ni cream ya mashabiki halisi katika nchi zao. Ndiyo maana wana vibe balaa.
Lukaku huwa ni mfano sahihi wa kauli ya "msuli tembo halafu matokeo sungura" au "unalima heka nzima halafu mavuno kisado"Lukaku anaubonda ila hana nyota ya kupendwa tu
Kwanini?Narudia kusema, VAR ikija Taifa tunauana.
Kuikataa VAR kwa mpira ulipofikia sasa hivi ni kuendelea kubaki nyuma na kujikwamisha kimaendeleo ya kimpira.Hamna kitu mtafanya. Narudia HAKUNA KITU mtafanya.
Wabongo kelele mingi mdomoni tu.
Kabisa Belgium ni wabovu mno hawa makundi wanaweza kuvuka ila robo fainali ndo mwisho wao, tatizo naliona lipo kwa kocha zaidi maana Belgium wanacheza mpira kama wa miaka ya 70's🤣🤣🤣🤣 Asante kaka nafuatilia kwa makini hapa haya mashindano nione jamaa wanatazidigi wapi uwanjani.
Ila hapa mbungi imepigwa aisee hatari.
Kwa hii defense ya belgium wakikutana na wamalizaji wazuri watalia....romania walikuwa wanapata ata kagoli kamoja
Lukaku huwa ni mfano sahihi wa kauli ya "msuli tembo halafu matokeo sungura" au "unalima heka nzima halafu mavuno kisado"
Lukaku huwa anakimbia sana, anaangaika sana, anatumia nguvu nyingi sana uwanjani lakini mwisho wa siku delivery yake ni afifu...
Angalia jasho analovuja haliendani kabisa na work outputs anayoitoa na wala hii haihusiani na nyota.
Mkuu namba hazidanganyi na uzuri mimi nafuatilia mpira karibia ligi zote kubwa ulaya. Angalia magoli na assist aliyohusika kwenye timu alizocheza katika misimu 12 mfululizo anakupa double figure za magoli, utasemaje output yake ni zero?. Mnyonge mnyongeni haki yake mpatie, huyu Lukaku hana nyota ya kupendwaLukaku huwa ni mfano sahihi wa kauli ya "msuli tembo halafu matokeo sungura" au "unalima heka nzima halafu mavuno kisado"
Lukaku huwa anakimbia sana, anaangaika sana, anatumia nguvu nyingi sana uwanjani lakini mwisho wa siku delivery yake ni afifu...
Angalia jasho analovuja haliendani kabisa na work outputs anayoitoa na wala hii haihusiani na nyota.
German, France, Italy huwaoni et vinchi vingi america havipo ktk Raman ya mpira,ie vinapambana na madawa huku majanga kama moto, barafu yakitamalakiNdondo cup ya euro....copa America hakuna Georgia, Hungary, slovekia/nia n.k. Argentina angeshiriki ulaya unadhani nani angemuweza!! Angelikua anachukua ubingwa kila msimu.
German, France, Italy huwaoni et vinchi vingi america havipo ktk Raman ya mpira,ie vinapambana na madawa huku majanga kama moto, barafu yakitamalaki
Mzee hebu tumia hii hakuna mechi ambayo unahiitaji ukaikosa hapa labda mechi za ligi yenu ya bongo.
Watch Live Football Streaming free - 808fubo Live
Score808 is 808fubo Now! 808fubo is the best livestreaming website for Malaysia, Singapore and South-East Asia sport fans. Watch football &, bola sepak Malaysia, Stream live sports like the Premier League, MFL, La Liga, UCL and more.play26.808fubo.com
Mkuu 16 shule ya msingi kweli??huyo ni form 3Miaka 16, huku kwetu si yuko shule za msingi?
Hiyo hiyo link inakupa live games za michezo yote ikiwemo basketball mpqka boxing... kikubwa hiyo mechi iwe inacheza muda huoNaomba link ya kucheki michezo ya Basketball