UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Naomba link ya brazil





Download hizo app mbili, ukishainstall zote mechi utakua unachekia kwenye hiyo ya pili.

NB: kama unamashaka na link hizi unaweza tafuta yacine tv popote pale unapoona wewe inafaa
 

Foden kuonesha kiwango kizuri kwa England ndio awemo kwenye kikosi bora ? Be seroius Bro
 
 
Leo wakuu mnaonaje hizi knock out stage.
Je Germany atatoboa dhidi ya Denmark?
Italy dhidi ya Switzerland?
Mimi nawapa Denmark kushinda leo japokua hawakuonesha ushindani katika makundi.
 

mkuu hio yamwanzo nimeipata, ila hiyo yapili niki search kwenye playstore nashindwa kuipata
 
Leo wakuu mnaonaje hizi knock out stage.
Je Germany atatoboa dhidi ya Denmark?
Italy dhidi ya Switzerland?
Mimi nawapa Denmark kushinda leo japokua hawakuonesha ushindani katika makundi.
Yan unawapa Denmark mbona umeamua kujiua
 
Leo wakuu mnaonaje hizi knock out stage.
Je Germany atatoboa dhidi ya Denmark?
Italy dhidi ya Switzerland?
Mimi nawapa Denmark kushinda leo japokua hawakuonesha ushindani katika makundi.
Kwenye hii stage masihara huwa yanawekwa pembeni na watu wanakuwa serious na kazi, na ndio muda wa kujulikana mtoto ni yupi na mkubwa ni yupi...!!

Huyo Denmark leo atafanyiwa aggressive high pressing ambayo hajawahi kabisa kukutana nayo, kwamba deutsch mannschaft watolewe mapema hii tena na Denmark??
 
Denmark aliwahi kumtoa Germany tena fainali.
Na wakati huo Germany ilikua kwenye prime.
Hawa Wadachi wanaelewa umuhimu wa game ya leo kwa pande zote ni moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…