UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Naomba link ya brazil

Download hizo app mbili, ukishainstall zote mechi utakua unachekia kwenye hiyo ya pili.

NB: kama unamashaka na link hizi unaweza tafuta yacine tv popote pale unapoona wewe inafaa
 
Japo England wametu disappoint sana ila so far mpaka sasa Foden ndio ameonesha kiwango kizuri sana kwa uingereza akifuatiwa na Tripper, maana kwanza yeye ndio kapiga mashuti mengi golini kuliko hata akina Kane japo yeye hana goli.

mbali na foden hapo ningeweza kumweka Arder Guler au Florian Wirtz maana hata wao wameuwasha sana moto lakini kwa Foden hawajafika, Foden mwacheni nyie yeye ndio anaonekana kuwa threat kwenye kikosi kizima cha England.

Foden kuonesha kiwango kizuri kwa England ndio awemo kwenye kikosi bora ? Be seroius Bro
 
Download hizo app mbili, ukishainstall zote mechi utakua unachekia kwenye hiyo ya pili.

NB: kama unamashaka na link hizi unaweza tafuta yacine tv popote pale unapoona wewe inafaa
Screenshot_20240629-110126_Yacine TV.jpg
 
Leo wakuu mnaonaje hizi knock out stage.
Je Germany atatoboa dhidi ya Denmark?
Italy dhidi ya Switzerland?
Mimi nawapa Denmark kushinda leo japokua hawakuonesha ushindani katika makundi.
 
Download hizo app mbili, ukishainstall zote mechi utakua unachekia kwenye hiyo ya pili.

NB: kama unamashaka na link hizi unaweza tafuta yacine tv popote pale unapoona wewe inafaa

mkuu hio yamwanzo nimeipata, ila hiyo yapili niki search kwenye playstore nashindwa kuipata
 
Leo wakuu mnaonaje hizi knock out stage.
Je Germany atatoboa dhidi ya Denmark?
Italy dhidi ya Switzerland?
Mimi nawapa Denmark kushinda leo japokua hawakuonesha ushindani katika makundi.
Kwenye hii stage masihara huwa yanawekwa pembeni na watu wanakuwa serious na kazi, na ndio muda wa kujulikana mtoto ni yupi na mkubwa ni yupi...!!

Huyo Denmark leo atafanyiwa aggressive high pressing ambayo hajawahi kabisa kukutana nayo, kwamba deutsch mannschaft watolewe mapema hii tena na Denmark??
 
Denmark aliwahi kumtoa Germany tena fainali.
Na wakati huo Germany ilikua kwenye prime.
Hawa Wadachi wanaelewa umuhimu wa game ya leo kwa pande zote ni moto.
 
Back
Top Bottom