UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Usiwachikulie poa uingereza

Ndani ya miaka mitano wamecheza fainali moja,nusu fainali moja na robo fainali

Uingereza wanapokutana na top five ya ulaya huwa wanabadilika
England wana wachezaji wazuri sana na hili kombe walitakiwa walichukuwe kiulani. Tatizo ni kocha. Tangu alipochukuwa timu 2016 wao waingereza wanasema kaibadilisha na kuwa timu nzuri lakini mimi siamini hata kidogo. Kila mashindano wanacheza vile vile. Kujihami na kubahatisha tu. Hakuna mpira wa pasi za uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…