Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madogo wanapata nafasi za kufunga ila hawaangaliani kila mtu anataka kufunga nje ya boxmadogo wa spain wanatia hasira aisee
Yani kila mtu anataka goli mwishowe wote wanakosa
Uli tegemea atakua ana wasumbua mabeki kama akiwa bayernHivi huyu Leroy Sane kocha alifikiria nini kumuanzisha???
Morata naye unafikiri ni mchezaji basi si basi tu ndoivyo Spain nao hawana Straika wa maana miaka hii.Wanaogopana sane na morata gemu imewashinda. Rodri, musiala wamewekwa mfukoni William na yamal top performance
Winga gani? Williams?Spain wanamnyima sana pasi yule winga mweusi wa kule pembeni wakat muda mwingi ndo anakuwa kwenye open space.
Ndicho wanachokifanya wanacheza kifaza na kwa plan kubwa, kikubwa wasiruhusu goli .Ujerumani ni suala la muda tu watawaonyesha hawa Spain utofauti uliopo kati ya Baba na mtoto.
Ni Kweli! Kwa Hiyo Rekodi! Unaweza Kuwapa Kombe, Ila kwa Mpira Wa Uwanjani, Ambao Wote tunauona, Hakuna Timu Pale MkuuUsiwachikulie poa uingereza
Ndani ya miaka mitano wamecheza fainali moja,nusu fainali moja na robo fainali
Uingereza wanapokutana na top five ya ulaya huwa wanabadilika
Hamna mchezaji wa hovyo kama huyu. Anaudhi sana.Hivi huyu Leroy Sane kocha alifikiria nini kumuanzisha???
Sane huyu hata kutrack back sio mzuri, na hata one-on-one siku hizi sio mzuri, kiufupi hii game hakutakiwa kabisa kucheza.Uli tegemea atakua ana wasumbua mabeki kama akiwa bayern
England wana wachezaji wazuri sana na hili kombe walitakiwa walichukuwe kiulani. Tatizo ni kocha. Tangu alipochukuwa timu 2016 wao waingereza wanasema kaibadilisha na kuwa timu nzuri lakini mimi siamini hata kidogo. Kila mashindano wanacheza vile vile. Kujihami na kubahatisha tu. Hakuna mpira wa pasi za uhakika.Usiwachikulie poa uingereza
Ndani ya miaka mitano wamecheza fainali moja,nusu fainali moja na robo fainali
Uingereza wanapokutana na top five ya ulaya huwa wanabadilika
Kwa wirts Sina shakaKuingia kwa Frolian Wirtz kunaenda kumpa Musiala space ya kufanya zile movements zake, spain sasa wanaenda kutaabika