Jude is playing fantastic todayBellingham yuko likizo leo
Yaani hamna kitu hukunikumuangaliaga foden pale mancity anavokiwasha, nakubaliana na usemi kuwa unaweza kuwa na wachezaji ila ukawa huna timu.
1.3 odd kiduchu risk kubwaOver 0.5 is a MUST.
Tia hela.
Yaani hamna kitunikumuangaliaga foden pale mancity anavokiwasha, nakubaliana na usemi kuwa unaweza kuwa na wachezaji ila ukawa huna timu.
Hispania wakikutanaga na France wanalowa mbona? Hao watoto wataishia kujiangusha angusha...na vile Carvajal hatakuwepo watapigwa tuSo far, waogopeni wale watoto wa Kihispania, wamewafunga wakongwe wa Ujerumani kwenye open play bila penalties.
Ukimuondoa Morata anayewaharibia game wale wengine pale mbele ni madogo lakini wanauwasha vizuri. Hakuna timu ya kuwafunga wale
Andaa virago vyakoNiko Switzerland
Ujerumani kwa spain amekuwa mnyonge kwa miaka karibu kumi sasaSo far, waogopeni wale watoto wa Kihispania, wamewafunga wakongwe wa Ujerumani kwenye open play bila penalties.
Ukimuondoa Morata anayewaharibia game wale wengine pale mbele ni madogo lakini wanauwasha vizuri. Hakuna timu ya kuwafunga wale
Ujerumani kwa spain amekuwa mnyonge kwa miaka karibu kumi sasa
Nawatabiria Spain watakiwasha sana next world cup
Watakuwa wamezeeka wengineUnaona, mimi nilikuwa nataka kusema hivyo. Wale watoto sasa hivi bado random, lakini baada ya haya mashindano wote watapanda bei na next 2 years watakuwa watamu kuliko sasa