UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Hapo nilimaanisha anatoka kwamba England hawatofuzu b... Ndio baadaye nikanyoosha mikono kwamba umeshinda wewe.
Ila sikuachi, kiroho mbaya niko nawe hadi nusu fainali.
Yeah! Lakini, watu iliyonao England, huyu Southgate anaichelewesha sana England.

Ova
 
Kwamba ana watu kuliko England ya Rooney, Beckham, Ferdinand, Cole, Lampard, Gerrard na hawakufua dafu b...?
Yeye namwona kama ana kundi kubwa, yaani wameamka wengi kwa pamoja, tena huku wakiwa na umri wa mizuka.

Wengine hadi kawaacha nyumbani, hajavunja kibubu, nadhani wenzake hawakuwa na kundi kubwa. Ila nao makocha walikuwa shida pia.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…