Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Wadau kisimbusi cha azam (zbc 2) kitaonyesha mtanange wa leo? Au ndio tusogelee dstv.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi kesho Leo sogea dstvWadau kisimbusi cha azam (zbc 2) kitaonyesha mtanange wa leo? Au ndio tusogelee dstv.

Ipo.Dr Restart leo hamna match?![]()
Nimekuja kukutambulisha sticker yangu mpyaIpo.
Spain vs France.
Sisi ni kesho.
Tujumuike saa 4. Au utakuwa mechini?

Ile ya sarakasi vipi?e Nimekuja kukutambulisha sticker yangu mpya![]()
Maana yake nini?

griezmann pigwa bench, hivi saliba ni white au black?France naona first eleven wazungu wawili tu
Timu ya waafrika
Baba Mlebanon mama Mcameroongriezmann pigwa bench, hivi saliba ni white au black?
Hivi wakati baba na babu wawenzetu wanatinga nje huko hawa wetu walikuwa wanafanya nini? Au na wenyewe walikuwa vijana wa hovyo tuu kazi kutusimanga sieBaba Mlebanon mama Mcameroon
Babu na wazz wangu sio wa hovyo waende wapi waache nchi ya maziwa na asali hiiHivi wakati baba na babu wawenzetu wanatinga nje huko hawa wetu walikuwa wanafanya nini? Au na wenyewe walikuwa vijana wa hovyo tuu kazi kutusimanga sie
ahaa, huu uchaguzi kuna chama kimeshika kasi pale france na kuna kila dalili ya kuking'oa chama cha kina macron wana hoja ngumu sana ikiwemo hawa wanet kina kante kujaa nchini kwaoBaba Mlebanon mama Mcameroon
Hii haipaswi kuwa special thrash mnatania.Naam, ni Hakika!
Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024.
Mashindano haya ya kusisimua, yanayofanyika mara moja kila baada ya miaka minne, yataanza kutimua vumbi Ijumaa, tarehe 14 Juni, na kumalizika Jumapili, tarehe 14 Julai.
Mwaka huu ni marudio ya 17 ya mashindano haya tangu kuanzishwa kwake mwaka 1960, na ni tukio la kihistoria kwani Ujerumani inaandaa kwa mara ya kwanza tangu kuungana tena. Hata hivyo, mashindano haya yaliwahi kuandaliwa na Ujerumani Magharibi mwaka 1988.
Mashindano ya EURO 2024 yanatarajiwa kuwa ya kipekee, yakifanyika katika miji kumi tofauti na kwenye viwanja kumi tofauti. Miji ikiwemo Berlin, Cologne, Frankfurt, Dortmund, Dusseldorf, Hamburg, Leipzig, Munich, na Stuttgart.
Jumla ya timu 24 zitashindana katika makundi sita, kila kundi likiwa na timu nne. Timu mbili za juu katika kila kundi huelekea hatua za mtoano. Huku best loosers wanne nao hupita katika hatua inayofuata.
View attachment 2964701
Kwa mara ya kwanza, timu ya taifa ya Georgia itashiriki katika mashindano haya, jambo linaloongeza msisimko zaidi.
Kwa taarifa kamili na maelezo zaidi kuhusu UEFA EURO 2024, jiunge nasi kutoka mwanzo hadi mwisho tunapokuletea matukio yote ya kusisimua ya mashindano haya ya kipekee.
Ila we jamaa umewaza Ujinga mwingi haki ya nani 🤗 😅😅🙌Hivi wakati baba na babu wawenzetu wanatinga nje huko hawa wetu walikuwa wanafanya nini? Au na wenyewe walikuwa vijana wa hovyo tuu kazi kutusimanga sie
FA wanamdekeza sana wasenge wale
mda wote zidumu fikra za nyerere kama mazobaHivi wakati baba na babu wawenzetu wanatinga nje huko hawa wetu walikuwa wanafanya nini? Au na wenyewe walikuwa vijana wa hovyo tuu kazi kutusimanga sie
Matunda ya Assimilation policy hayoahaa, huu uchaguzi kuna chama kimeshika kasi pale france na kuna kila dalili ya kuking'oa chama cha kina macron wana hoja ngumu sana ikiwemo hawa wanet kina kante kujaa nchini kwao