UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Walikuwa wanaogopa laana kutoka kwa wazazi wao 😆
 
Walikuwa wanaogopa laana kutoka kwa wazazi wao 😆
Itakuwa hilo...hizi imani za kijinga zimetuharibu kweli kweli.
Mjinga mwengine balozi wa kwanza england eti baadala ya kuzalisha wazungu yeye anawaza kumpindua nyerere🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mida ya Sunset na sunrise ya ulaya ya ajabu sana tofauti na sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…