raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Walikuwa wanaogopa laana kutoka kwa wazazi wao 😆Sio ujinga ndio akili maana wenzetu walikuwa wanaenda nje wanatia watu mimba watoto wao ndio kama hivyo tunasikia obama, mara seliba, pogba, bosingwa mnakonde wa mozambique. Sie mbona hatusikii hao wanaosema kuwa huyu baba mtz.
Inamaanisha baba zetu waliridhika na misambwa ya mama zetu ata walivyopelekwa kusome nje huko walikuwa hawagegedi warembo wakizungu