UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Hamna, Holland hawezi kumsumbua sana England,maana kule kwa gapko Kuna walker huko ndo waga Kuna threat sana pia kwenye midfield Kuna mido nzuri za kingereza so Holland ndo atakuwa unausaka muda wote
Holland Mali inatulia vizuri mguuni, mkoloni akae sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…