UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Aisee mpira ni mchezo wa ajabu sana

Leo kiungo ya Uholanzi imepoteana kabisa na kumtoa Memphis ndio kabisa confidence ikawa 0...wanakimbia kimbia tu

Hatahivyo, Big Up kwa kocha na wachezaji wa kiingereza, wametulia na kucheza mpira wa kasi leo
Leo wamechangamka...waki heza hivi dhidi ya spain tutapata ginal nzuri
 
ENGLAND v/s ESPANOL

Jinsia ya kubeti.

under 3.5

Spain apate goal 1. ( over 0.5 )

under 8.5 corner

Both teams to score YES

First half draw. ( 0-0 )

Lamine Yamal to score YES

bukayo ayonike tamidayo saka to score NO.

team to qualify ENGLAND

chagua msimbo wowote uhakika lazima ule mkeka wako. Weka laki 1. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…