Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
- #5,881
Na bado. Mpaka mseme.Aisee mpira ni mchezo wa ajabu sana
Leo kiungo ya Uholanzi imepoteana kabisa na kumtoa Memphis ndio kabisa confidence ikawa 0...wanakimbia kimbia tu
Hatahivyo, Big Up kwa kocha na wachezaji wa kiingereza, wametulia na kucheza mpira wa kasi leo