UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

sijui imekuaje nmesahau funguo zangu zote Bar kuanzia za Geti hadi Chumbani 😢kibaya zaidi nafika getini ndo nakumbuka, nmeishiwa nguvu.

Hii mechi yamchongo ndo imeniponza
Fata funguo huna jinsi, kuna kibaridi kinafaa kulalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…