UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Mpira ni kitu cha ajabu si mnaona wengi wamebeti spain? Tuwameza baki midomo wazi.

Ninachojua mpira unauma kuliko mapenzi wacha tusubiri dakika tu
Wapenzi wa mpora kama neutral wangependa spain ashinde kwa sababu ndio timu bora, ila sasa mpira ulivyo nyoko, uweza shangaa england anafunga kimoko na mchezo kwishney.
 
Jamani 5-1 si walilia wakasaga meno? Ahaaa

Wapenzi wa mpora kama neutral wangependa spain ashinde kwa sababu ndio timu bora, ila sasa mpira ulivyo nyoko, uweza shangaa england anafunga kimoko na mchezo kwishney.
Final kama hizi ni tamu kwenda penalty bana. Walio bet hawataki penalty 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…