raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Capt Morata hapa 😄🍺Wahispaniola tujuane mapema.....naitwa Mpaji Fernando El Mungu Perez
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Capt Morata hapa 😄🍺Wahispaniola tujuane mapema.....naitwa Mpaji Fernando El Mungu Perez
Wapenzi wa mpora kama neutral wangependa spain ashinde kwa sababu ndio timu bora, ila sasa mpira ulivyo nyoko, uweza shangaa england anafunga kimoko na mchezo kwishney.Mpira ni kitu cha ajabu si mnaona wengi wamebeti spain? Tuwameza baki midomo wazi.
Ninachojua mpira unauma kuliko mapenzi wacha tusubiri dakika tu
King hatakuwepo ila waliwatakia mafanikioLeo king atakuwepo kwani?
Jamani 5-1 si walilia wakasaga meno? Ahaaa
Final kama hizi ni tamu kwenda penalty bana. Walio bet hawataki penalty 🤣Wapenzi wa mpora kama neutral wangependa spain ashinde kwa sababu ndio timu bora, ila sasa mpira ulivyo nyoko, uweza shangaa england anafunga kimoko na mchezo kwishney.
ZBC2 wapo live...usikoseHuu mtanange ni DSTV pekee au na AZAM pia?.
Penalty sio bwana maana hapo kuna mmoja atalaumiwa bora ngoma iishe 90 basiFinal kama hizi ni tamu kwenda penalty bana. Walio bet hawataki penalty 🤣
Its Coming Home MkuuNatamani spain abebe kombe na nimekuwa na spain tangu michuano hii kuanza ila England bahati inawabeba mno lolote linaweza kutokea.
Nitafurahi endapo yamal akinyenyua kwapa leo hawa England Midomo mirefu wakae kwa kutulia
View attachment 3041968
Aisee england ashinde nakwambia tutakoma hiyo media frenzy itakuwa balaaKing hatakuwepo ila waliwatakia mafanikio
We utaona Belli mipira atakayo gusa leo haitazidi mara tano👊👊👊Hawa watoto wa Malkia tuwape haki yao ya kikatiba
Ila hawatabeba,Napenda Spain wabebe ndoo
ngoja tuone dk 90 zitatupa majibuIla hawatabeba
anakata mauno ya kiccm uwanjaniWe utaona Belli mipira atakayo gusa leo haitazidi mara tano
Kabisa.ngoja tuone dk 90 zitatupa majibu
amka utajambia sofaIts Coming Home Mkuu
Patawaka motoWe utaona Belli mipira atakayo gusa leo haitazidi mara tano
Paka anacheza namba ngapi uwanjaniKabisa.
Yule paka ametupa ushindi
Huyo dogo Mainooo ndio kabisaaaaaaPatawaka moto
Ila nyie england asiee mkishinda hatutakaa kwa amani humu ndaniMnaoshabikia Spain mjuane mapema
Baadae hatutaki visingizio wakati Captain Harry Kane atakapokuwa anainua makwapa