UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Kwa furaha walionayo raia wa spain, ndugu yao kawa bingwa wa tennes pale London, na team yao imebeba kombe .

Matokeo yake yataonekana miezi tisa baadae serikali ijipange kupokea watoto wapya
Eee kumbe hadi tennes wamebeba, safi sana
 
Safi sanaa spain 🇪🇸 YAITAMBUA PALESTINA KAMA TAIFA HURU, hivyo nilikua upande wenu, na sio hao vibaraka wa myahudi, rudini kwenu.

Spain🇪🇸 🇯🇴 free palestine
Waislamu bhana 😂
 
Vitu vyao vyote tena nasema vyote ni top notch'
 
Kuumia kwa kufungwa na Spain? Spain kampiga Croatia, Spain kampiga Italy, spain kampjga Germany, Spain kampiga France na Leo england
Tena hizo mechi zote anashinda na kutandaza boli sio kwa bahati
Nilishamtabiria baada ya kuitwanga France.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…