Kuna chuma kutoka vfb Stuttgart kinaitwa Denis Undav uchezaji wake Hana tofauti na Miloslav CloseUjerumani ndio wameshindwa kuzalisha mshambuliaji mwengine wa kiwango cha juu, kutoka utawala wa klose, mario gomez, klinsmann, voller hadi nyakati za kai havertz na fullkrug