Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameikataa hiiGoli mbili ndani ya dakika mbili
Uturuki 🔥🔥🔥
🤣🤣🤣No GOAL
VAR jau sana..
Huyu refa kama namjuaGoli mbili ndani ya dakika mbili
Uturuki 🔥🔥🔥
Ukipigwa nalo lile unawehukaGoli la kwanza ni bonge la muwa
Sanaaa yaani imenyoshwa haswaGoli la kwanza ni bonge la muwa
Ni Muargentina aliyekuja kuchezesha michuano hii kama sehemu ya ushirikiano baina ya UEFA na CONMEBOLHuyu refa kama namjua
Lazma uombe majiUkipigwa nalo lile unawehuka
Goli safi kabisaSanaaa yaani imenyoshwa haswa
Nchi za Ulaya Mashariki ni ngumu sana kukuta ngozi nyeusiUwanjani hakuna ata black mmoja