UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Ronaldo kaonyesha tofauti gani sasa? Mbona perfomance yake ilikua ya kawaida sana.
Kuna nilikoongelea performance Mkuu? Kwa umri alionao unataka aoneshe makeke yake ya miaka 20 aanze kupambana na majeruhi?
Kwa sasa anatekeleza majukumu yake ya ufungaji pekee na umeona wazi alivyosumbua.

Hoja yangu ni mapenzi yake ya dhati kwa taifa lake ambako hakuna mjadala, vijana wengi anaocheza nao sasa kwenye hilo taifa wamehamasishwa naye.
 
uyo. achana naye mjuaje afu mbishi kweli ana andika vitu bila ata kuwa na logic.na anapenda mabishano kama watoto wa shule ya msingi afu shida nyingine aliyenayo ukimwambia ukweli kama ivyo anajifanya anakaza Fuvu.
 
Sawa sawa mkuu. Nilifikiri umefanya rejea ya mechi ya jana ndio maana nikashangaa maana kwa ureno jana ukisema upange top perfomers Ronaldo aangii hata top three vitinha, pepe na bruno wamepiga kazi kubwa sana.
 
uyo. achana naye mjuaje afu mbishi kweli ana andika vitu bila ata kuwa na logic.na anapenda mabishano kama watoto wa shule ya msingi afu shida nyingine aliyenayo ukimwambia ukweli kama ivyo anajifanya anakaza Fuvu.
Mnachanganya mapenzi na ushabiki ndio maana wagumu kuelewa. Pamoja na ushabiki wangu kwa Man utd lakini hainizuii kuona Ronaldo ashaisha asipofunga anakua mzigo tu uwanjani. Mechi ya jana Ronaldo hakua na impact yoyote, angekua mzalendo angeomba kupigwa sub kwa sababu mechi ishamshinda.
 
Performance ya Portugal ilikuwa nzuri Sana Ila mahamuzi ya umaliziaji ilikuwa Ni mbovu kupindukia. The next match Ronaldo akae bench tu
 
Performance ya Portugal ilikuwa nzuri Sana Ila mahamuzi ya umaliziaji ilikuwa Ni mbovu kupindukia. The next match Ronaldo akae bench tu
Team Ronaldo hawawezi kukuelewa. Hata kama akianza ni sawa lakini pale anapombwela kocha asisite kumpiga sub. Kinachohitajika uwanjani ni ushindi sio kuonyesha passion au uchungu na timu yako
 
kitendo tu cha Criastiano Ronaldo kuwepo uwanjani kuna leta impact nyingi sana tofauti tu na kufunga Goli unalotaka wewe afunge moja ya impact kubwa ni kuongeza pressure kwa mabeki wa timu pizani hii ni rahisi sana kuwapa mianya wachezaji wengine wafunge afu pili kunaongeza hamasa kwa wachezaji wezake usisahau Ronaldo ni moja kati ya wachezaji wenye mafanikio makubwa sana ya kisoka hapa Duniani ile wezake tu kumuona hamasa inakua kubwa sana.bado sjazungumzia infuence nje ya uwanja perfomance sio kukimbia kimbia tu na mpira uwanjani
 
Performance ya Portugal ilikuwa nzuri Sana Ila mahamuzi ya umaliziaji ilikuwa Ni mbovu kupindukia. The next match Ronaldo akae bench tu
akikaa Bechi ataanza nani au wew hujui ata Namba zinambeba kwenye Euro qualification Cristaino Ni Namba mbili kwenye Top score alifunga Goli kumi hakuna mchezaji wa Ureno aliyefikisha iyo idadi ya Magoli na ukichukua kwa ujumla kwa mashindano ya msimu huu Ronaldo anaongoza kwa magoli Mengi kuliko mchezaji yoyote yule wa Ureno.kwanin umuweke Bechi
 
Ureno wana kikosi kizuri tatizo ni kocha analinda ugali wake kwa kuwapanga washkaji zake Ronaldo
ROBERTO MARTNEZ anaogopa yatamkuta kama yaliyomkuta bwana Fernando Santos endapo kama atashindwa kutwaa ubingwa.

Tukiacha na hilo, binafsi naona bwana Cristiano Ronaldo ni kama ana bahati mbaya na timu yake ya Taifa..!!

Alipokuwa kwenye prime(hapa nazungumzia 2008-2018) alikuwa na timu mbovu sana(licha ya kuchukua euro), miaka hiyo Portugal ilikuwa na average players kibao na yeye ndio alikuwa anaibeba timu.

Sasa hivi ambapo Portugal imesheeni world class players karibu kila idara na yeye ndio amefika ukingoni, sio yule tena, sasa hivi timu ndio inambeba na sio yeye kuibeba.

Kiukweli kabisa hii Portugal ya sasa hivi ya akina Bruno Fernandez,Bernado Silva,Raphael Leao,Vitinha,Mendez,Ruben Diaz,Diogo jota.... ingekuwa ndio imemkuta yule Cristiano wa 2008-2015 sidhani kama kuna kombe ambalo angeshindwa kuchukua na utop scorer ungemuhusu kwa kila michuano.
 
mbona Ronaldo Bado ni top score karibu kwenye kila michuano Euro 2021 apo juzi tu yeye ndio alikua top score pia aliwahi kuwa top score kwenye michuano ya Uefa national leauge pia Ndio mchezaji mwenye idadi kubwa ya magoli kwenye hii michuano ana jumla ya magoli 14 pia Ndio mchezaji mwenye idadi kubwa ya magoli kwenye hatua za kufuzu.
 
Uyo ni ronaldo wa miaka minne au mitano iliyopita, huyu ronaldo wa sasa hivi anakabika kirahisi tu kwa timu yoyote yenye mabeki wa daraja la kati. Ronaldo wa sasa hivi asipofunga hana impact nyingine yoyote uwanjani
 
Uyo ni ronaldo wa miaka minne au mitano iliyopita, huyu ronaldo wa sasa hivi anakabika kirahisi tu kwa timu yoyote yenye mabeki wa daraja la kati. Ronaldo wa sasa hivi asipofunga hana impact nyingine yoyote uwanjani
kwenye mechi za qualification alikua namba mbili kwenye top score alifunga Goli 10 nyuma ya lukaku ambaye alifunga Goli 14 kwenye Euro 2021 yeye ndio alikua Top score wa michuano iyo ni miaka minne au mitano iliyopita awo wachezaji amabao hawakabiki kirahisi Mbona hawazifiki izo Namba kama ni rahisi ivyo
 
Punguza mihemko we, ceballos alienda kwa mkopo arsenal Ila arteta aliona aliona ahendani na mfumo anaotaka yeye.
Ungeweza kuwa mstaarabu kwa matumizi sahihi ya maneno, hizi ni social media tu punguza kuhemkwa.

Kama Ceballos haendani na mfumo anaotaka Arteta huyo Arda Guler ndio mnaenda kumpoteza kabisa.
 
Mechi za qualifications sio za kufanya rejea maana uko kuna vitimu vya type ya san marino ambavyo unaweza kutandika hata goli 5 peke yako. Uero ya 2021 tayari portugal alikua na world class players wengi sana wa kumbeba ronaldo. Version ya Ronaldo mwenyewe ni baada ya kuondoka kizazi cha wakina figo, paulista n.k hapo kati ronaldo alibaki na wakina luis nani na quaresma ambao wana mambo mengi uwanjani lakino hawana impact ya maana na ndicho kipindi ambacho ronaldo aliibeba ureno yeye mwenyewe binafsi huyu ronaldo wa sasa hivi ni asipofunga hana impact nyingine uwanjani anakua mzigo tu wenzake ni mpaka umpe watu wazuri sana wambebe ila yeye mwenyewe binafsi hawezi sababu ashaisha, hata ivyo sometimes takwimu hazitengenezi picha sahihi ya uhalisia, mimi binafsi ninaamini zaidi ninachokiona kuliko takwimu. Uki-base sana kwenye takwimu unaweza kusema de bryne ni mkali kuliko zidane wa enzi zake.
 
Afu Afu game zote zimetoa goli firsthalf,kasoro ya jana. QMamae ureno😠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…