Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Kuna nilikoongelea performance Mkuu? Kwa umri alionao unataka aoneshe makeke yake ya miaka 20 aanze kupambana na majeruhi?Ronaldo kaonyesha tofauti gani sasa? Mbona perfomance yake ilikua ya kawaida sana.
Kwa sasa anatekeleza majukumu yake ya ufungaji pekee na umeona wazi alivyosumbua.
Hoja yangu ni mapenzi yake ya dhati kwa taifa lake ambako hakuna mjadala, vijana wengi anaocheza nao sasa kwenye hilo taifa wamehamasishwa naye.