UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Ebu nipeni mchanganuo Albania na Croatia wamepiga game mbili na wanalingana point hatima ya hz timu imekaaje? What's next?
Bado game moja moja. Kwa sasa hakuna unachoweza kusema.

Albania ana unafuu. Ana negative moja. Huku Croatia akiwa na negative 3.

Timu mbili za kila kundi zitatangulia knock out. Kuna nafasi nne kwa best loosers.

Kama hali itakuwa mbaya kwa timu zingine basi wanaweza kutoboa huko.
 
Golden boot kwenye international competition anazo chache sababu ata idadi ya mechi ni chache tofauti na mechi za kwenye vilabu afu pia izo international competition zinachukua kipindi kirefu sana kufanyika mfano kombe la Duniani huwa linafanyika kila baada ya miaka minne Na Ndio maana ata top score mwenye Goli nyingi kuliko wote kwenye kombe la Dunia ana Goli kumi na sita pekee sababu kubwa ni idadi ya mechi na mda na mfumo unaotumika kuendesha ayo masindano mfano mashindano mengi ya international competition yapo kwenye mfumo wa mtoano

Na pia nakupinga unavyosema Ronaldo wa kipindi cha 2010 hadi 2017 angekua na kikosi Hiki ingewezekana ata kombe la Duniani wangebeba sio rahisi ivo mzee unajua toka kombe la Dunia lianze mwaka 1930 Ni timu tano tu Ndio zimetwaa kombe la Dunia kutoka Bara la ulaya nazo ni Germany,England ,Spain ,Italy na France wew unazani miaka yote hiyo bara la ulaya izo timu tano tu ndio zilikua zinavikosi Bora vya kuwawezesha wabebe kombe la Dunia kwa mfano Nertheland wamewahi kuwa na vikosi vya dhahabu mara nyingi tu ila Hadi leo hii kombe la Dunia wanalisikia kwenye Bomba tu kwahyo kauli yako yakusema eti angekua na kikosi Hiki akiwa na ubora wake wa kipindi cha Nyuma angetwaa kombe la Dunia nakupinga vibaya kabisa
afu nakuongezea kuwa top score sio kushinda Golden boot pekee mfano uyo uyo Cristaiono Ronaldo kashinda golden boot kwenye aya mashindano mara moja tu ila ukichukua ki ujumla ya mashindano yote yaliowahi kufanyika yeye ndio anaongoza kwa kua na idadi kubwa ya Magoli ana jumla ya magoli 14
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…