UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Mi
Bado game moja moja. Kwa sasa hakuna unachoweza kusema.

Albania ana unafuu. Ana negative moja. Huku Croatia akiwa na negative 3.

Timu mbili za kila kundi zitatangulia knock out. Kuna nafasi nne kwa best loosers.

Kama hali itakuwa mbaya kwa timu zingine basi wanaweza kutoboa huko.
nadhan wangeboresha,best loosers wakutanishwe mechi Moja Moja, atakaepigwa out
 
Back
Top Bottom