UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Huko baridi sana
Kuna kipindi nilienda Njombe nilikula ugali na majani ya maboga yaliyotiwa karanga ule msosi ulikua mtamu naukumbuka hadi leo🤸
Sasa huu ukanda kuhusu misosi ndio mahala pake. Ila kwa jinsi ulivyouzungumzia huo msosi inaonekana toka ulipo toka Njombe haujaula tena! Wakati mimi huku naubonda kwa wiki hata mara 3
 
Nilisema Toka juzi sisi Italy hili kombe tunabeba mara ya pili
Subir ukutane na vyuma japo naona Spalletti anaweza akawafikisha Mbali Italy ila mimi sina imani kama atachukua Ubigwa Spalletti system yote aliyokua anaitumia Napoli kaenda kuisimika kweny Timu ya Taifa Ndio maana jana Di lorenzo nilikua naona ana enyoy tu
 
Back
Top Bottom