Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio burudani ya soka sasa🤣Sijawahi ona mashabiki vigeugeu kama watz yani wakat mechi za Germany, Italy na Spain zilipokuwa zikiendelea wao wanaizungumzia England lakn baada ya mechi ya England kwisha wameanza tena kuikataa
Odds na bahati nilikuwa upande wake dhidi ya Italy akachezea nafasi ile fainali kwa sasa itakuwa vigumu
Wana hasiraaaHawa Ukraine wameathirika na kipigo cha Russia [emoji635]
Mkuu upo sawa?Ukraine 1
Romania 0
Unajua kabisa nimelewa.. nisamehe aisee..Mkuu upo sawa?
Sikukuu hizi mzee.. Acha tuMkuu upo sawa?
Mkuu hongera kwa kupendeza,me mwenyewe natamani nipate lager kadhaa ila sasa daaahUnajua kabisa nimelewa.. nisamehe aisee..
Romania 1
Ukraine 0
Enjoy kaka life ni kujipa raha mwenyeweSikukuu hizi mzee.. Acha tu
Ukraine wamezidiwa,game plan yao haijafanya kazi kabisaaaa.Waje kivingineUkraine anamiliki mpira sana ila Romania wakipata mpira ni mbele kwa mbele.
Niwatakie Romania ushindi.