Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hii mechi ni tamu japo wengi wetu tumeipuuziaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale angefosi angetenguka nyonga🤣Kipa reflex ipo slow
Watu wanasubiria ya saa 4.. ila hii ndio radha ya mpira ssHii mechi ni tamu japo wengi wetu tumeipuuziaa
Shida siasa kwenye kila jamboI wish Tungekua na Mapenzi na Taifa Stars kama wenzetu.
wachezaji wenyewe hawachezi vizuri ndugu vibe litatoka wapi? Hawa wenzetu unaona wanajituma,,I wish Tungekua na Mapenzi na Taifa Stars kama wenzetu.
Aisee sijaona mechi Safi Kama Hii tangu michuano Hii ianzeHii mechi ni tamu japo wengi wetu tumeipuuziaa
Scotland fala sanaHya mashindano hayana underdog!!!
Lipia dstv, wabongo uswahili mwingiAzam walichotufanyia,wangese Sanaaaa
Mechi ya Romania na Ukraine had sasa Ndio mechi boraAisee sijaona mechi Safi Kama Hii tangu michuano Hii ianze
Game tamu Balaa😋Watu wanasubiria ya saa 4.. ila hii ndio radha ya mpira ss
Mechi ya Ukraine haikua na balanceMechi ya Romania na Ukraine had sasa Ndio mechi bora
Tatizo ni CCMI wish Tungekua na Mapenzi na Taifa Stars kama wenzetu.