Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
- #1,801
74'
1-1
1-1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikasema tukubaliane kutokubaliana. Hakuna haja ya mmoja kulazimisha kwamba ndie yupo sahihi na tukibishana hatutafika mwisho. Huu mjadala wa takwimu vs uhalisia ni mpana mzee baba jaribu kufuatilia hata uko mbele inaleta mkanganyiko nankusababisha majibu yasiwe na logical based hata kwenye utoaji tuzo ya ballon dor bado haijulikani kipi kinapewa uzito. Kuna mwaka ambao messi alipewa balon dor watu wakahoji inakuaje anyimwe iniesta ambae kabeba world cup ambae aliupiga mwingi sana kwenye yale mashindano na kafunga goli la kuwapa spain ubingwa? tukaambiwa messi anajua ball kuliko iniesta na ukiweka takwimu pembeni ukiangalia uhalisia unaona ni kweli ikabidi tunyamaze, msimu jana kachukua messi tukauliza kivipi anyimwe halaand ambae ana takwimu nzuri zaidi tukaambiwa messi kaupiga mwingi sana kule qatar na kachukua world cup. Kwaiyo bado mjadala wa takwimu vs uhalisia haujafika mwisho. Ndio yale yale kwenye takwimu unaambiwa uchumi unakua lakini ukicheki hali ya maisha mtaani inazidi kuwa mbaya. Takwimu vs uhalisia ni mjadala mrefu ndugu yangu.kwani uwo mpira unangalia peke ako hadi wengine tusione kinachotokea uwanjani chanagamoto yako wewe unamini katika Hisia zako kuliko reality una tatizo la kulazimisha Hisia zako ziwe reality itakuchukua mda mrefu sana kuweza kupata mabadiliko kwenye kila kitu unachokifanya
NAstream hapa goli bado🤣🤣