Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na goal lilivyokataliwa vitapata motoHapa Romania akiendelea kukaza puru anaweza sawazisha na hata kushinda kabisa
Nddhani mwili .Lukaku anaubonda ila hana nyota ya kupendwa tu
Bado haumpi shida. Naona anajitahidi vizuri tuNddhani mwili .
Kuna moja kapiga cross Doku jamaa karuka kizembe sanaBado haumpi shida. Naona anajitahidi vizuri tu
Ata ikizidi harufu tu. Wanakula kichwa.Hizi offside za kipuuzi sana
Madogo wamekiwasha.Romania anapata nafasi nzuri za kusawazisha naona anaremba remba tu
Kwajinsi hili goli la Lukaku lilivyokataliwa na hata la Nedherland jana naomba wasiilete hiyo VAR. TutapasuanaNarudia kusema, VAR ikija Taifa tunauana.
Sio kinyonge yaniMadogo wamekiwasha.