UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Ukiweka magoli 2.5 kwenda hutoboi.. Group stage nishaliwa 40k nikasema wacha nisubiri ligi tu
Magoli ni market ngumu sana kwenye betting sijui kwa nn watu huitumia. Mfano Jana timu kubwa kama Portugal na France zimetoka 0-0, hapo unategemea nn
Option nzuri kwa timu kubwa huwa ni shots on target, goal kicks, yellow cards na kidogo offsides
 
Kila kitu kipo mezani ajafahamika refa tu
images (6).jpeg

Daniele Orsato

Labda vibendera na ballboys.
 
Sifa iendane na uwezo, England miaka na miaka ni underachievers lakini hype wanayopewa ni kubwa mno
Mnataka nini wakuu?

England on the recent years,have been so good. Euro iliyopita alifika fainali. Akapigwa kwa matuta.

Kombe la Dunia aliishia robo.

Mnataka nini? Form za mechi za kirafiki za FIFA na UEFA Euro qualitiers zimekuwa kali sana..

Okay sawa. Uwaanjani tufungwe na makelele tusipige? Haipo hiyo.
 
Magoli ni market ngumu sana kwenye betting sijui kwa nn watu huitumia. Mfano Jana timu kubwa kama Portugal na France zimetoka 0-0, hapo unategemea nn
Option nzuri kwa timu kubwa huwa ni shots on target, goal kicks, yellow cards na kidogo offsides
Hii naiweka kwenye to-do list. Zile mechi za mwanzo Germany anapiga mtu 5 tukajua 3.5 itakua unalipa.. Kha
 
Mnataka nini wakuu?

England on the recent years,have been so good. Euro iliyopita alifika fainali. Akapigwa kwa matuta.

Kombe la Dunia aliishia robo.

Mnataka nini? Form za mechi za kirafiki za FIFA na UEFA Euro qualitiers zimekuwa kali sana..

Okay sawa. Uwaanjani tufungwe na makelele tusipige? Haipo hiyo.
Usilie usilie kijana wa Malkia.
 
Hii naiweka kwenye to-do list. Zile mechi za mwanzo Germany anapiga mtu 5 tukajua 3.5 itakua unalipa.. Kha
Magoli jau sana, huwa zinawaangusha Sana watu. Kuna jamaa yangu alikuwa anapenda sana kuweka magoli, game ya Spain vs Albania akasema lazima Spain apate goli 2 sababu Albania ni underdogs, akaweka mil 5
Kilichofata sasa........
 
Back
Top Bottom