UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Ila we jamaa umewaza Ujinga mwingi haki ya nani 🤗 😅😅🙌
Sio ujinga ndio akili maana wenzetu walikuwa wanaenda nje wanatia watu mimba watoto wao ndio kama hivyo tunasikia obama, mara seliba, pogba, bosingwa mnakonde wa mozambique. Sie mbona hatusikii hao wanaosema kuwa huyu baba mtz.
Inamaanisha baba zetu waliridhika na misambwa ya mama zetu ata walivyopelekwa kusome nje huko walikuwa hawagegedi warembo wakizungu
 
IMG_2162.jpeg
 
Back
Top Bottom