UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Chemsha bongo HT
Kwenye bathtub ni nani mshindi ndani ya sec 10 za mwanzo anakula 500k 😁
Screenshot_20240709-222922_Chrome.jpg
 
Yamine Yamaal dogo ana akili kubwa sana ya mpira wiki iliyopita na ujeruman alivyotolewa tu Hispania wakazidiwa mno Leo kocha asirufie ujinga wake.
 
Sub za spain hua ni mdebwedo ufaransa wakikaza wanatoboa cha msingi wabadiri mfumo wao wa kuvizia alafu huyo 11 atoke
 
Back
Top Bottom