UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Badaye new holland lazma amlime mkoloni
Screenshot_20240710-121739~2.png

Paka, kawala Kichwa hao Wadachi!!
 
Haya leo mkoloni wetu anacheza dhidi ya visiwa vya udach

Mkoloni wetu anacheza mpira wa kuchechemea

Ikiwezekana angechagua mchezaji moja kila nchi za jumuiya ya madola ili tukamsaidie
 
Back
Top Bottom